Health Plan
Usiendelee Kujilaumu: Uzito Mkubwa Una Sababu, Na Una Suluhisho Salama na la Kudumu
Umechoka kujaribu diet, mazoezi, chai na dawa za kupunguza uzito bila mafanikio ya kudumu? Kitambi, tumbo la chini na nyama uzembe bado vipo palepale? π Ukweli ni huu: tatizo sio wewe, bali mbinu ulizotumia.…
Join other students
About This Course
Umechoka kujaribu diet, mazoezi, chai na dawa za kupunguza uzito bila mafanikio ya kudumu?
Kitambi, tumbo la chini na nyama uzembe bado vipo palepale?
π Ukweli ni huu: tatizo sio wewe, bali mbinu ulizotumia.
Hii ni course ya miezi 3 iliyotengenezwa kwa Mtanzania halisi, anayekula vyakula vya Kitanzania, ana stress na muda mdogo.
π₯ SI COURSE YA KAWAIDA
Ni mfumo kamili unaokufundisha:
-Kwa nini uzito wako umekwama
-Jinsi homoni, stress na muda wa kula vinavyojenga kitambi
-Namna ya kula bila njaa wala kujinyima
-Njia salama ya kuondoa tumbo la chini kwa kudumu
π‘ UTAJIFUNZA:
β Chanzo halisi cha uzito wako
β Mpangilio kamili wa lishe ya Kitanzania
β Sharubati na tiba za asili zinazofanya kazi
β Mazoezi rahisi ya nyumbani
β Mpango wa wiki hadi wiki bila kuchanganyikiwa
β³ MATOKEO:
-Siku 14: tumbo na gesi kupungua
-Siku 30: nguo kukaa vizuri
-60: kitambi kushuka wazi
-Siku 90: mfumo mpya wa maisha bila kurudia uzito
Hii si ya siku 7.
π Ni mabadiliko ya maisha yako.
Curriculum
π Lesson 1: Uzito Mkubwa ni Ugonjwa au Mtindo wa Maisha?
10 minπ Lesson 2: Homoni na Uzito β Adui Asiyeonekana
6 minπ Lesson 3: Stress, Usingizi na Sumu Mwilini
6 minπ Lesson 4: Sababu za Tumbo la Chini na Kitambi Sugu
5 minπ Lesson 5: Dalili za Uzito Usio wa Kawaida
5 minπ Lesson 1: Makosa 12 Yanayokufanya Unenepe Zaidi
6 minπ Lesson 2: Kwa Nini Diet Nyingi Hushindwa
6 minπ Lesson 3: Madhara ya Muda Mrefu
6 minπ Lesson 4: Ukweli Kuhusu Dawa na Chai za Kupunguza Uzito
6 minπ Lesson 1: Kanuni 7 za Lishe ya Kupunguza Uzito
6 minπ Lesson 2: Vyakula vya Kitanzania Vinavyochoma Mafuta
6 minπ Lesson 3: Vyakula Vinavyoongeza Kitambi (Vitajwe Wazi)
6 minπ Lesson 4: Mpangilio Kamili wa Lishe (JumatatuβJumapili)
10 minπ Lesson 5: Maji, Chai na Vinywaji Salama
6 minπ Lesson 1: Sharubati & Juice za Kuondoa Uzito Haraka
6 minπ Lesson 2: Tiba za Asili za Kusawazisha Homoni
6 minπ Lesson 3: Mazoezi Rahisi ya Nyumbani
6 minπ Lesson 4: Mpango wa Wiki hadi Wiki (Miezi 3)
6 minπ Lesson 5: Dalili za Mafanikio
4 minπ Lesson 6: Kudumisha Matokeo Maisha Yote
12 minπLesson 7; Tumia SLIM PACK na Program ya Tiba ya Okoa Mwili Natura-Clinic Kwa Matokeo ya Haraka
6 minCourse Features
- Access on Mobile & Desktop
- Certificate of Completion
- Lifetime Access
- Instructor Support