Health Plan
USIJARIBU KUSHIKA UJAUZITO KABLA HUJAPITIA HII SAFARI YA MIEZI 3
Mwongozo wa vitendo unaomwandaa mwanamke wa Kitanzania kuurekebisha mwili, kusawazisha homoni na kujiandaa kushika ujauzito haraka, salama na kwa matumaini mapya. “SAFARI YA KUANDAA MWILI, AKILI NA ROHO…
Join other students
About This Course
Mwongozo wa vitendo unaomwandaa mwanamke wa Kitanzania kuurekebisha mwili, kusawazisha homoni na kujiandaa kushika ujauzito haraka, salama na kwa matumaini mapya.
“SAFARI YA KUANDAA MWILI, AKILI NA ROHO KWA AJILI YA UJAUZITO”
Hii siyo course ya kukukimbiza kushika mimba kesho.
Ni course ya kukuandaa kushika mimba kwa usalama, kudumu na kwa baraka.
Curriculum
1️⃣ Sababu Kuu Zinazomfanya Mwanamke Ashindwe Kushika Ujauzito
6 min2️⃣ Dalili Zinazoonesha Mwili Unahitaji Maandalizi
7 min3️⃣ Madhara ya Kujaribu Kushika Ujauzito Bila Maandalizi
7 min4️⃣ Namna ya Kuepuka Madhara Hayo
6 min5️⃣Hatua Za Awali za Safari ya Miezi 3
7 min🌸 Utangulizi wa Mdule
6 min🍽️ Mpango wa Lishe ya Uzazi Ya Kitanzani (Wiki 1)
6 min🫖 Vinywaji Tiba vya Kuandaa Nyumbani
7 min🧘♀️ Mazoezi Mepesi ya Uzazi na Mtindo Sahihi wa Maisha
6 min⛔ Vitu vitu Kuacha Kabisa Katika Safari ya Uzazi
6 min🌸 Wiki ya 1–12 (Kusafisha Mwili & Kusawazisha Homoni)
6 min🌱 Tiba Asilia za Kupevusha Mayai
6 min⏰ Ratiba Sahihi ya Matumizi na Mwongozo wa Siku za Uzazi (Fertile Window)
10 min❌ Makosa ya Kawaida Katika Safari ya Uzazi
6 min🌟 Hitimsho na Njia Mbadala na ya Haraka ya Kuondoa Matatizo ya Uzazi Haraka
15 minShuhuda za Waliotumia Tiba Zetu na Kufanikiwa Kushika Ujauzito
6 minCourse Features
- Access on Mobile & Desktop
- Certificate of Completion
- Lifetime Access
- Instructor Support