Slim Pack chini ya 100kg; Dozi ya Siku 15
TSH 110,000
Tumia SLIM PACK kwa Kupunguza Uzito na Kitambi Haraka
Ikiwa unataka kupunguza uzito na kitambi kwa haraka, Slim Pack ni suluhisho bora kutoka Okoa Mwili Natura Ceutical Clinic. Inapendekezwa kutumia dozi hii kwa miezi 3 mfululizo ili kupata matokeo bora zaidi.
Faida za Slim Pack
1. Kupunguza uzito
2. Kupunguza kitambi
3. Kuondoa nyama uzembe
4. Kutoa sumu mwilini
5. Kuboresha mmeng'enyo wa chakula
6. Kutibu na kukinga magonjwa ya moyo
7. Kuboresha afya ya mishipa na cholesterol
8. Kutibu na kuzuia kisukari
9. Kuimarisha mifupa na afya ya macho
Bei za Slim Pack
Kwa kutumia dozi ya kidonge 1 asubuhi na 1 jioni (Kwa malengo ya kupunguza uzito, kitambi, na nyama uzembe PEKEE Hasa kwa mwenye 100kg na kushuka):
1. Siku 15: TSH 110,000/=
2. Mwezi 1: TSH 220,000/=
3. Miezi 3: TSH 660,000/=
Zaidi ya 100kg au kuwa na athari za Magonjwa ya yatokanayo na uzito mkubwa kama Kisukari, BP, Moyo, nk, tuwasiliane nikupe ufafanuzi.
Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.
Package Contents
-
Burn Slim Productx1