Uzee Package 1 (Kuimarisha Afya Uzeeni); Dozi ya Mwezi 1

Uzee Package 1 (Kuimarisha Afya Uzeeni); Dozi ya Mwezi 1

TSH 225,000

Kama una umri wa Miaka 40 na kuendelea, nakushauri kutumia Package hii kuboresha afya yako ya Uzee na Kuepuka magonjwa: 1. Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini. 2. Kupunguza athari za kuzeeka kwa seli za mwili. 3. Kuimarisha afya ya moyo na mishipa. 4. Kuboresha kazi za ubongo. 5. Kuimarisha mifupa na viungo. 6. Kusaidia kudhibiti uzito. 7. Kuboresha usingizi. 8. Kuongeza nguvu za mwili. 9. Kupunguza maumivu ya viungo. 10. Kuboresha afya ya ngozi 11. Kuepusha magonjwa ya Ganzi, dimentia na kutetemeka. Utafiti wa Dr. David Sinclair wa 2003 kuhusu Resveratrol iliyopo kwenye Tiba Hizi: David Sinclair, pamoja na wenzake, walifanya utafiti ambao ulionesha kuwa resveratrol, kiambato kilichopo katika divai nyekundu (red wine extract ) na mimea fulani, huongeza muda wa kuishi kwa kuamsha jeni za sirtuins, hususan SIRT1. Utafiti huu ulibaini kwamba resveratrol ina athari zinazofanana na upunguzaji wa kalori, njia inayojulikana kwa kuongeza muda wa maisha katika viumbe mbalimbali. Tafiti zao zilionyesha uwezo wa resveratrol kuboresha afya ya kimetaboliki, kupunguza uvimbe, na kuimarisha kazi za mitochondria. Nakushauri kutumia Tiba Hii kwa miezi 3 hadi 6 kwa matokeo mazuri Gharama zake: - Mwezi 1: Sh 225,000/= - Miezi 3: Sh 675,000/= Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.