Natural Detox Pack; Dozi ya Mwezi 1

Natural Detox Pack; Dozi ya Mwezi 1

TSH 207,000

UKIAMKA MWILI UKIWA MCHOVYU, TUMBO KUJAA, MIGUU KUJAA AU NGOZI NA MACHO KUWA NA RANGI YA NJANO – JIHADHARI! -Hizi ni dalili zinazoweza kuashiria tatizo la ini (liver dysfunction). Ini likiwa dhaifu, linashindwa kusafisha damu na kuondoa sumu mwilini, hivyo mwili mzima unaanza kuathirika. 👉 Tunashauri utumie C24/7 pamoja na Liver Care kwa sababu vinasaidia mwili mzima katika njia zifuatazo: 🌿 FAIDA KWA MWILI NA VIUNGO VYOTE -Ini (Liver): Husafisha sumu mwilini, kulinda seli za ini zisiharibike, na kurejesha nguvu za ini. -Mfumo wa kumeng’enya chakula (Digestive System): Huboresha usagaji chakula, kupunguza kuvimbiwa na gesi tumboni. -Mfumo wa damu (Circulatory System): Husafisha damu, kuboresha mzunguko wa damu na kuzuia mishipa kuziba. -Moyo (Heart): Hulinda moyo dhidi ya shinikizo la damu, mafuta mabaya (cholesterol) na kuimarisha mapigo yake. -Figo (Kidneys): Hupunguza mzigo wa figo kwa kusaidia kuondoa sumu mwilini na kulinda kazi zake. -Mfumo wa kinga (Immune System): Huimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara. -Ngozi na macho (Skin & Eyes): Hurejesha mng’ao wa ngozi, kuondoa njano, na kuboresha afya ya macho. -Mfumo wa neva (Nervous System): Hupunguza uchovu, maumivu ya kichwa, msongo wa mawazo, na kuboresha usingizi. -Mfumo wa uzazi (Reproductive System): Huimarisha homoni na kuleta uwiano bora wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake. -Mfumo wa mifupa na viungo (Skeletal & Muscular System): Huimarisha nguvu za misuli na mifupa, kupunguza uchovu na maumivu ya viungo. 🌟MATOKEO HALISI YA KUSAFISHA MWILI WAKO Ini linaanza kufanya kazi kama kichujio hai cha mwili ndani ya siku chache Badala ya kuchoka na kulegea, ini linaanza kusafisha damu, kuvunja sumu na kusaidia mwili kujirekebisha upya kutoka ndani. Gesi tumboni, tumbo kujaa, uzito na uchovu huanza kupungua bila kujilazimisha Mwili unapotoa sumu, mfumo wa mmeng’enyo unakuwa mwepesi, tumbo linapungua taratibu na nguvu za mwili zinaanza kurudi. Homoni zinapata uwiano wake, ngozi inaanza kung’aa na nguvu za mwili zinaongezeka Dalili kama hedhi zisizoeleweka, ngozi kukosa mwanga, uchovu wa kila siku na kukosa hamu ya kazi huanza kupungua kwa kiasi kikubwa. Kinga ya mwili inaanza kuimarika, magonjwa ya mara kwa mara yanapungua Mwili unapokuwa safi ndani, seli za kinga hufanya kazi vizuri zaidi, hivyo homa, mafua na maambukizi ya mara kwa mara hupungua. Maumivu yasiyoeleweka mwilini huanza kupotea taratibu Maumivu ya kichwa, mgongo, viungo na mwili mzima ambayo hayana chanzo cha wazi huanza kupungua kadri sumu zinavyoondolewa mwilini. Yote haya ni matokeo ya C24/7 Natura-Ceutical na Liver Care 💰 BEI ZA MATUMIZI: -Kwa mwezi: Tsh 207,000 -Kwa miezi 3: Tsh 621,000 Usisubiri viungo vyako kukuelemea, na Magonjwa sugu kukushambulia. Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.

Package Contents

  • C24/7 Natura-Ceutical Product
    x1
  • Liver Care Product
    x1