HORMONAL & MENSTRUAL BALANCE PACKAGE; Dozi ya Mwezi 1

TSH 184,000

HORMONAL & MENSTRUAL BALANCE PACKAGE Package hii ina tiba za asili; ni suluhisho la asili lililoundwa kwa wanawake wenye mvurugiko wa homoni za uzazi. Hapa kuna faida 10 za msingi: Kusawazisha homoni za uzazi – husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi. Kupunguza hedhi zisizo za kawaida – kama kuchelewa, kupita kiasi au kupata mara mbili kwa mwezi. Kupunguza maumivu ya hedhi (dysmenorrhea) – mwili unapata nafuu wakati wa kipindi. Kuimarisha ovulation – kuongeza nafasi ya kushika ujauzito kwa wanawake wanaopanga ujauzito. Kuondoa dalili za PMS kali – kama msongo wa mawazo, uchovu na mabadiliko ya hisia. Kusaidia kutibu fibroids ndogo na cysts za ovari – kwa ufanisi wa asili bila kemikali hatarishi. Kuboresha afya ya mfuko wa uzazi – kusafisha uchafu na kuimarisha mazingira ya uzazi. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa – mwili unarejelea usawa wa homoni za mapenzi. Kuimarisha ngozi na nywele – kutokana na msaada wa homoni katika mwili. Kuongeza nguvu na stamina ya mwili – kupunguza uchovu unaohusiana na mvurugiko wa homoni. Bei za HORMONAL & MENSTRUAL BALANCE PACKAGE: Siku 15: Tsh 92,000 Mwezi 1: Tsh 184,000 Miezi 3: Tsh 552,000 Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.