Smoke Free Reset Package; Dozi ya Mwezi

Smoke Free Reset Package; Dozi ya Mwezi

TSH 260,000

SMOKE FREE RESET PACKAGE Faida za kutumia kwa anayetaka kuacha sigara na pombe: Husaidia kupunguza hamu (craving) ya sigara na pombe taratibu bila stress kubwa. Hutakasa ini (liver detox) lililoathiriwa na sumu za sigara na pombe. Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi, acid na kichefuchefu. Husafisha damu (blood cleansing) na kusaidia mwili kuondoa sumu haraka. Huongeza nguvu na umakini wa akili, kupunguza uchovu na usingizi mwingi. Hurekebisha usingizi (sleep balance) uliovurugika kwa watumiaji wa sigara/pombe. Hupunguza msongo wa mawazo na hasira, dalili za kawaida za kuacha matumizi. Huimarisha kinga ya mwili (immunity) dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara. Huboresha afya ya mapafu na ini kwa ujumla, kusaidia mwili kujirekebisha. Huchochea mabadiliko ya haraka na endelevu pale vinapotumika mfululizo kama dozi ilivyoelekezwa. 📦 Jina la Package: Smoke Free Reset Package ⏳ Dozi ya Mwezi: Sh 260,000 ⏳ Dozi ya Miezi 3: Sh 780,000 👉 Imeandaliwa kwa matokeo ya haraka kwa anayeamua kuacha sigara na pombe kabisa. Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.

Package Contents

  • Restolyf Product
    x1
  • Liven Alkaline Coffee-Original Product
    x1