Natural Skin Glow Pack 2; Dozi ya Mwezi 1
TSH 315,000
Unatamani ngozi yako i-glow kutoka ndani bila kutumia make-up au kemikali?
Hii hapa siri ya wanawake wanaong’aa bila kujitahidi
Bidhaa hii ya asili imetengenezwa kwa coffee ya asili, collagen ya mimea, vitamin E na antioxidants ambazo husafisha mwili kutoka ndani na kufanya ngozi yako iwe lainiiii, nyororo na yenye mwanga wa asili 🌿
💫 Faida zake:
1️⃣ Husafisha damu na kuondoa sumu zinazosababisha chunusi na mabaka.
2️⃣ Hurekebisha homoni za ngozi kwa wanawake wenye chunusi sugu.
3️⃣ Huondoa mabaka meusi na matangazo ya ngozi.
4️⃣ Hufanya ngozi iwe na mwonekano wa “glass skin” bila vipodozi.
5️⃣ Huondoa mafuta kupita kiasi usoni na kukaza vinyweleo.
6️⃣ Hulisha ngozi kwa ndani, kufanya iwe nyororo na yenye unyevunyevu.
7️⃣ Husaidia kucha na nywele kuwa imara na zenye afya.
8️⃣ Huondoa makunyanzi ya mapema na dalili za uzee.
9️⃣ Hurejesha uconfidence — ngozi yako yenyewe inakuwa make-up yako!
🔟 Huimarisha mzunguko wa damu unaosaidia uso kung’aa kwa asili.
💵 BEI ZAKE:
🔹 Mwezi 1 — Tsh 315,000
🔹 Miezi 3 — Tsh 945,000
🔥 Matokeo huanza kuonekana ndani ya siku 7–14 tu!
Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.
Package Contents
-
Hair, Skin+Nails Productx1
-
Keopi Glow Productx3