Insulin Package; Dozi ya Mwezi 1
TSH 225,000
INSULIN PACKAGE
Kwa mwenye matatizo ya insulin resistance, sukari kupanda-shuka, uzito mgumu kushuka na homoni kuvurugika
Faida za Insulin Package
Husaidia kusawazisha kiwango cha insulin mwilini
Hupunguza insulin resistance (mwili kuacha kupinga insulin)
Husaidia kudhibiti sukari ya damu kupanda na kushuka hovyo
Huchochea mwili kutumia sukari kama nishati badala ya kuigeuza mafuta
Husaidia kushusha uzito hasa tumbo la chini na kitambi cha homoni
Hurekebisha homoni zinazohusiana na njaa kali na tamaa ya sukari
Huboresha afya ya ini na kongosho (pancreas) vinavyohusika na insulin
Hupunguza uchovu wa mwili, usingizi mchana na kukosa nguvu
Husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi kwa wanawake wenye insulin resistance/PCOS
Huboresha afya ya mwili kwa ujumla na kuzuia madhara ya muda mrefu ya sukari
BEI ZA INSULIN PACKAGE
-Dozi ya mwezi 1: Tsh 225,000
-Dozi ya miezi 3: Tsh 675,000
📌 Package hii inalenga chanzo cha tatizo, sio kuficha dalili.
📌 Inafanya kazi vizuri zaidi ikitumiwa sambamba na mpangilio sahihi wa lishe.
Kupata matokeo ya haraka, na ya uhakika, tumia tiba hii kwa miezi 3 mfululizo
Package Contents
-
Restolyf Productx1
-
C24/7 Natura-Ceutical Productx1