Melasma Pack; Dozi ya Mwezi 1

Melasma Pack; Dozi ya Mwezi 1

TSH 405,000

MELASMA PACK Faida kwa mwenye matatizo ya Melasma: Husawazisha homoni zinazochochea madoa ya melasma usoni. Hutibu madoa meusi (dark patches) taratibu bila kuharibu ngozi. Husaidia kuondoa sumu mwilini inayochangia ngozi kuwa na rangi isiyo sawa. Huboresha mzunguko wa damu kwenye ngozi ya uso na mwili mzima. Hufanya ngozi iwe laini, yenye mwanga wa asili (natural glow). Hutibu wekundu na miwasho ya ngozi nyeti. Huimarisha afya ya ngozi kutoka ndani (cell repair). Husaidia ngozi kustahimili mionzi ya jua (UV protection ya ndani). Huboresha afya ya nywele na kucha, kuzuia kukatika na kudhoofika. Huzuia kurudi kwa melasma endapo itatumika kwa muda sahihi. Ushauri Muhimu: 👉 Tumia Melasma Pack kwa miezi 3 mfululizo ili kupata matokeo ya haraka, salama na ya kudumu. Bei: Dozi ya mwezi 1: Sh 1,215,000 Dozi ya miezi 3: Sh 1,035,000 📌 Matokeo bora hupatikana kwa matumizi sahihi, lishe bora na kuepuka jua kali bila kinga. Kupata matokeo ya haraka, na ya uhakika, tumia tiba hii kwa miezi 3 mfululizo

Package Contents

  • Keopi Glow Product
    x3
  • Hair, Skin+Nails Product
    x1
  • C24/7 Natura-Ceutical Product
    x1