Hair Loss Package; Dozi ya Mwezi 1

Hair Loss Package; Dozi ya Mwezi 1

TSH 320,000

FAIDA ZA HAIR LOSS PACKAGE Hupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la nywele kudondoka Huchochea ukuaji wa nywele mpya zenye nguvu Hurejesha unene na ujazo wa nywele (hair volume) Huimarisha vishina vya nywele (hair roots) Huboresha mzunguko wa damu kwenye ngozi ya kichwa Hupunguza nywele kukatika na kuwa dhaifu Husaidia kusawazisha virutubisho muhimu kwa nywele Huongeza uangโ€™avu na afya ya nywele kwa ujumla Keopi Glow hulisha nywele kutoka ndani na kuboresha texture Husaidia kurejesha afya ya nywele kwa waliopitia msongo wa mawazo au mabadiliko ya homoni ๐Ÿ‘‰ Ushauri: Kwa matokeo ya haraka na ya kudumu, tumia Hair Loss Package kwa miezi 3 mfululizo bila kukatisha. ๐Ÿ’ฐ Bei: -Dozi ya mwezi 1: Sh 320,000 -Dozi ya miezi 3: Sh 960,000 ๐Ÿ“ž Kwa maelezo zaidi na ushauri sahihi wa matumizi, wasiliana nasi. Kupata matokeo ya haraka, na ya uhakika, tumia tiba hii kwa miezi 3 mfululizo

Package Contents

  • Keopi Glow Product
    x3
  • Hair, Skin+Nails Product
    x1