In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
Keopi Glow
KOPI GLOW
Packaging:
Kopi Glow inakuja kwenye pakiti za rangi ya dhahabu na nyeusi,
Kila pakiti ina kilo 1 ya unga wa kopi tayari kwa kutengeneza kikombe kimoja.
Rahisi kubeba, kuhifadhi na kutumia nyumbani au kazini.
Jinsi ya Kutumia
Changanya kijiko 1 cha Kopi Glow na maji moto au maziwa kidogo.
Kunywa kikombe 1 asubuhi na 1 jioni kwa matokeo bora.
Ratiba ya matokeo: tumia kwa siku 90 mfululizo kuona mwili unavyopata mabadiliko ya kudumu.
Faida za Kopi Glow
Kuondoa sumu mwilini – huimarisha kinga ya mwili na husaidia ngozi kuonekana safi na yenye kung’aa.
Kupunguza mafuta na kitambi – husaidia kuharakisha uchomaji wa mafuta na kudhibiti uzito.
Kuongeza nguvu na uhai – hutoa nishati ya kudumu na kupunguza uchovu wa mwili.
Kusaidia ngozi kung’aa – hutoa unyevu na kutibu ngozi kavu, kucha kung’aa na nywele zenye afya.
Kusaidia mfumo wa mmeng’enyo – huimarisha utumbo na kusaidia usagaji wa chakula vizuri.
Kusaidia afya ya moyo na damu – husaidia kudhibiti cholesterol na shinikizo la damu.
Kuongeza metabolisimu – huchoma kalori zaidi, hasa kwa wale wanaotaka kupunguza uzito haraka.
Rekomendation
Hii ni chai ya kila siku kwa wale wanaotaka mwili wenye afya, ngozi inayong’aa, na kupunguza kitambi.
Pamoja na lishe yenye uwiano na maji mengi, Kopi Glow inatoa matokeo bora zaidi baada ya siku 90.
Inafaa kwa watu wa umri wowote, wanaotaka kuboresha mwili na ngozi kwa njia ya asili.
Bei:
Siku 10: TSH 70,000
Mwezi 1: TSH 210,000
Miezi 3: TSH 630,000
Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093
TSH 70,000
- Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
- Availability 82 Units
- SKU PROD-1f5f113b-b8df-4acb-9025-e1e864a5867a