Choleduz Omega 3
CHOLEDUZ OMEGA-3 ni kirutubisho chenye mafuta ya samaki (Fish Oil) ambacho husaidia kuimarisha afya ya moyo, ubongo, macho na viungo vya mwili. Kina virutubisho muhimu vya EPA na DHA ambavyo mwili unahitaji kwa ajili ya kazi mbalimbali za kiafya.
Faida za CHOLEDUZ OMEGA-3:
• Husaidia kupunguza mafuta mabaya kwenye damu (cholesterol na triglycerides)
• Huimarisha afya ya moyo na mzunguko wa damu
• Husaidia ubongo kufanya kazi vizuri na kuongeza umakini
• Huimarisha afya ya macho
• Hupunguza maumivu na uvimbe wa viungo
• Husaidia kuboresha afya ya ngozi
• Huchangia kuongeza nguvu za mwili na stamina
• Husaidia watu wenye presha kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu
• Ni muhimu kwa afya ya mbegu za kiume na homoni
• Husaidia mwili kupambana na inflammation sugu
Matumizi: Kwa kawaida hutumika baada ya chakula kulingana na maelekezo ya mtaalamu wa afya au yaliyopo kwenye kifurushi.
Tumia kwa miezi 3 mfululizo kwa matokeo mazuri
Bei: Sh 70,000 tu.
Kwa maelezo zaidi au kuagiza, piga au WhatsApp +255767716093.
TSH 70,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 14 Units
- SKU PROD- 5b79eb61-a695-4ae2-90e6-988a52391c3a