iGlow Serum
✨ I GLOW SERUM – Siri ya Ngozi Yenye Mng’ao na Uhai Upya
Unachohitaji si kupaka bidhaa nyingi bila mpangilio, bali ni serum yenye viambata sahihi vinavyofanya kazi moja kwa moja kwenye chanzo cha matatizo ya ngozi. I Glow Serum imeundwa kitaalamu kusaidia ngozi kurejea katika hali yake ya asili—laini, yenye unyevunyevu na inayong’aa kwa afya.
🔬 VIAMBATA MUHIMU (Active Ingredients)
1. Hydrolyzed Collagen
-Husaidia kurejesha uimara wa ngozi
-Hupunguza mikunjo na dalili za kuzeeka mapema
-Huifanya ngozi kuwa laini na yenye elasticity
2. Tripeptide Complex
-Huchochea uzalishaji wa collagen asilia mwilini
-Husaidia ku-repair seli za ngozi zilizochoka
-Hupunguza makunyanzi na kufanya ngozi iwe smooth
3. Hyaluronic Acid (Moisture Booster)
-Huvutia na kuhifadhi unyevunyevu ndani ya ngozi
-Huzuia ukavu na kufanya ngozi ionekane fresh muda wote
-Hutoa “plump effect” ya ngozi yenye afya
4. Vitamin Complex (hasa Vitamin C & E)
-Husaidia kuondoa mabaka meusi (hyperpigmentation)
-Hulinda ngozi dhidi ya uharibifu wa mazingira
-Huongeza mwangaza wa ngozi (brightening effect)
🌿 FAIDA ZA KUTUMIA I GLOW SERUM
-Hurejesha mwonekano wa ujana wa ngozi
-Hupunguza mikunjo na fine lines
-Huondoa mabaka meusi na chunusi
-Huipa ngozi mwanga wa asili (natural glow)
-Husaidia ngozi kuwa laini, nyororo na yenye afya
-Inafaa kwa aina nyingi za ngozi (oily, dry, combination)
💡 JINSI YA KUTUMIA
-Pakaa tone chache usoni asubuhi na usiku
-Tumia baada ya kusafisha uso
-Fuata na moisturizer ili kufunga unyevunyevu
💰 BEI
Shilingi 70,000/= tu
Bidhaa hii si ya kupaka tu, bali ni uwekezaji wa moja kwa moja kwenye afya ya ngozi yako. Ukianza kutumia kwa consistency, utaona mabadiliko ndani ya muda mfupi.
📞 Piga au WhatsApp: +255767716093
Chukua hatua sasa urejeshe mwanga wa ngozi yako kwa njia sahihi na salama.
TSH 50,000
- Category Cosmetics
- Availability 19 Units
- SKU PROD- 67038408-393e-4e03-b996-7bc19546c727