Angel E

ANGEL E – Support ya Asili kwa Homoni na Afya ya Uzazi wa Mwanamke

Maelezo ya Bidhaa

Jina: Angel E

Aina: Supplement ya asili kwa wanawake

Umbo: Tembe za kunywa

Mchanganyiko: Viambato vya asili vinavyosaidia kusawazisha homoni, afya ya uzazi na ngozi

Lengo Kuu: Kurekebisha homoni, kuboresha mzunguko wa hedhi, kuimarisha afya ya uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Faida Kuu za Angel E

1. Kurekebisha Homoni

Husaidia kusawazisha estrogen na progesterone, kurejesha mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, kupunguza dalili za hormonal imbalance.

2. Kuimarisha Afya ya Uke

Husaidia kupunguza ukavu wa uke, kurejesha lubrication ya kawaida na kusaidia afya ya mazingira ya uke.

3. Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa

Husaidia kuongeza libido kwa wanawake wenye changamoto ya kushuka kwa hamu kutokana na msongo wa homoni.

4. Kusaidia Uzazi

Husaidia kuandaa mwili kwa ujauzito kwa kusawazisha homoni na kuboresha mazingira ya uzazi.

5. Kuimarisha Afya kwa Ujumla

Huongeza nguvu za mwili, huboresha ngozi, na kusaidia kinga ya mwili kufanya kazi vizuri.

Angel E mara nyingi hutumika kusaidia afya ya uzazi wa mwanamke na ngozi hasa kwenye ubora wa mayai, homoni na maandalizi ya ujauzito. Faida zake hutegemea ingredients zilizomo, lakini kwa kawaida watu huitumia kwa ajili ya:

• Kusaidia kubalance homoni

• Kuboresha ubora wa mayai (egg quality)

• Kusaidia mzunguko wa hedhi kuwa sawa

• Kuongeza nguvu za uzazi

• Kusaidia wanawake wenye PCOS

• Kupunguza sumu kwenye mfumo wa uzazi

• Kusaidia maandalizi ya kupata ujauzito

• Kuimarisha afya ya ovari

• Kusaidia nishati na afya ya mwili kwa ujumla

• Kusaidia wanawake wenye umri mkubwa wanaotafuta ujauzito

•kuondoa dalili mbaya za menopause

•Kubana uke, kuoneza ute ute na kuimarisha ngozi na mwonekano

Mapendekezo ya Matumizi

Muda: Tumia kwa siku 90 mfululizo kwa matokeo bora

Njia: Tumia kama ulivyoelekezwa na mtaalamu wa afya

Kunywa maji ya kutosha, fuata lishe bora yenye vitamini na antioxidants

Epuka sukari nyingi na vinywaji vyenye kemikali zinazoweza kuvuruga homoni

Ratiba ya Matokeo

Mwezi 1 – Tsh 92,000

Mzunguko wa hedhi unaanza kuwa wa kawaida, uke unapata lubrication ya kawaida, libido inaanza kuongezeka

Miezi 2 – Tsh 184,000

Mzunguko wa hedhi unakuwa imara, ukavu wa uke hupungua, homoni zinaanza kusawazika vizuri

Miezi 3 – Tsh 276,000

Afya ya uzazi inaimarika, uwezekano wa kupata ujauzito unaongezeka, libido na afya ya uke vinaimarika kikamilifu

Ushauri wa Ziada

Kwa matokeo bora zaidi:

Fuata lishe yenye mboga za majani, matunda na protini bora

Kunywa maji ya kutosha kila siku

Fanya mazoezi mepesi kusaidia mzunguko wa damu na homoni

Kwa ushauri wa kitaalamu, mwongozo wa lishe ya homoni na kuagiza

Piga au WhatsApp: +255767716093

TSH 92,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 10 Units
- SKU PROD- 7a15c3c5-1a75-4669-bfdd-a8ab60cb8cef