CoQ10
COQ10 400mg WITH OMEGA-3
Kirutubisho cha Kuimarisha Moyo, Ubongo na Nguvu za Mwili
Hii ni supplement yenye mchanganyiko wa CoQ10 na Omega-3 ambayo husaidia kuongeza uzalishaji wa energy kwenye seli za mwili, kuimarisha afya ya moyo pamoja na kusaidia mfumo wa damu kufanya kazi vizuri.
Kila bottle ina capsules 60.
Faida zake muhimu mwilini:
• Kuimarisha afya ya moyo na mishipa ya damu
Husaidia mzunguko mzuri wa damu na kusaidia moyo kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
• Kuongeza nguvu na stamina
Watu wengi wenye uchovu wa mara kwa mara, mwili kukosa nguvu au kuchoka haraka hutumia CoQ10 kusaidia kuongeza energy ya mwili.
• Kusaidia afya ya ubongo na kumbukumbu
Omega-3 husaidia mfumo wa neva, umakini na afya ya ubongo kwa ujumla.
• Kupunguza oxidative stress mwilini
Husaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu unaosababishwa na sumu na uchovu wa mwili.
• Kusaidia afya ya wanaume na wanawake
CoQ10 pia hutumika kusaidia ubora wa mbegu za kiume, afya ya mayai ya uzazi na kuimarisha vitality ya mwili.
Namna ya kutumia: Capsule 1–2 kwa siku baada ya chakula kulingana na ushauri wa matumizi.
Tahadhari: Wenye presha, kisukari au wanaotumia dawa za damu kuganda wanashauriwa kupata ushauri kabla ya kutumia.
Tumia kwa miezi 3 mfululizo
Bei: Sh 70,000
Kwa maelezo zaidi au namna sahihi ya kutumia kulingana na afya yako, piga au WhatsApp +255767716093.
TSH 70,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 20 Units
- SKU PROD- e515e1da-e632-4cbe-a289-dbe43fffbaa9