In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook
Mwongozo wa Lishe wa Kupunguza Uzito Haraka
Faida kuu za Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa wa Kupunguza Uzito, Kitambi na Nyama Uzembe:
Hupunguza uzito taratibu na salama bila kudhoofisha mwili
Huvunja mafuta sugu ya tumboni (kitambi) na sehemu ngumu kama mapaja na mikono
Hupunguza nyama uzembe (cellulite) na kuboresha muonekano wa ngozi
Husawazisha homoni zinazochangia unene na kushindwa kupungua uzito
Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi, kujaa tumbo na constipation
Husaidia kudhibiti sukari na presha ya damu, hasa kwa wenye magonjwa sugu
Huongeza nguvu na uchangamfu wa mwili (body energy) bila kuchoka haraka
Hupunguza hamu ya kula kupita kiasi, hasa vyakula vya sukari na wanga mwingi
Hulinda ini na figo, kusaidia mwili kutoa sumu (detox) kwa ufanisi
Hutoa mpangilio rahisi wa chakula cha kila siku, unaotekelezeka nyumbani bila gharama kubwa
KUMBUKA; Mwongozo huu unalenga kutibu chanzo cha unene, siyo kuficha dalili, hivyo matokeo yake hudumu zaidi ukiufuata kwa nidhamu.
Kwa matokeo ya Haraka, tumia Mwongozo wa lishe na Tiba ya SLIM PACK kwa siku 90 mfululizo
TSH 10,000
- Category eBook
- Availability 100 Units
- SKU PROD-5e8b2361-d551-4fcc-a6e5-ceff15683af8