Mwongozo wa Lishe wa Kuimarisha Mng'ao wa Ngozi na Magonjwa ya Ngozi
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook

Mwongozo wa Lishe wa Kuimarisha Mng'ao wa Ngozi na Magonjwa ya Ngozi

4.9 (128 Reviews)
Faida kuu za kutumia Mwongozo wa Lishe wa magonjwa ya ngozi na kuimarisha mng’ao wa ngozi: Kutibu chunusi na vipele – Lishe sahihi inaweza kusaidia kudhibiti homoni na kuondoa vipele vya muda mrefu usoni na mwilini. Kuondoa michirizi na weusi – Mwongozo huu unajumuisha vyakula na vinywaji vinavyosaidia kusafisha damu na kuondoa madoa ya weusi. Kuimarisha mng’ao wa ngozi – Vyakula vyenye vitamini C, E, na antioxidants husaidia ngozi kung’aa na kuwa laini. Kusaidia unyevunyevu wa ngozi – Lishe inayofaa inasaidia ngozi kuwa na unyevu wa asili na kuepuka ukavu. Kudhibiti mafuta usoni – Mwongozo hutoa mapendekezo ya chakula kinachodhibiti mafuta mengi, hivyo kuondoa ngozi yenye unyevu mkubwa na chunusi. Kuimarisha kinga ya ngozi – Vyakula vya protini, omega-3, na antioxidants husaidia ngozi kuzuia kuvimba na maambukizi. Kupunguza alama za uzee mapema – Lishe bora husaidia kupunguza mistari na alama zinazotokana na uzee au mchakato wa kuzeeka. Kusaidia afya ya jumla ya mwili – Ngozi inakuwa na afya bora ikiwa mwili mzima unapata virutubisho muhimu. Rahisi kuzingatia na kutumia kila siku – Mwongozo huu hutoa mpangilio wa milo ya kila siku, kwa urahisi wa kufuata. Matokeo ya kudumu – Kutumia mwongozo huu kwa uangalifu huzaa matokeo ya muda mrefu kuliko kutumia bidhaa za nje pekee. Pia ikiambatana na Hair, Skin+Nails kutoka Okoa Mwili kwa siku 90 mfululizo itakupa matokeo ya haraka na kudumu Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093

TSH 10,000

  • Category eBook
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-69094cf4-76b1-4a19-ae4c-063691d0559f