In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
Mychoco
MYCHOCO
Description / Product Sheet:
MyChoco ni chokoleti yenye lishe ya kipekee iliyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu, ikijumuisha vitamin, minerals, antioxidants, na superfoods. Imetengenezwa kusaidia kuboresha nguvu, afya ya mwili, akili, na kudumisha uzito unaofaa.
Packaging:
Kila pack inakuja na sachet 20, rahisi kubeba na kutumia kila siku.
Mbinu ya utengenezaji ni premium, isiyo na preservatives kali, kuhakikisha ladha tamu na usalama kwa matumizi ya kila siku.
Mapendekezo ya Matumizi:
Tumia kila siku kwa matokeo makubwa.
Changanya na maji au maziwa kidogo, au kinywaji unachopendelea.
Kwa matokeo bora, tumia kwa siku 90 mfululizo, usahau muda wa mapumziko.
Faida za MyChoco:
Kuongeza nguvu na stamina: Inasaidia mwili kupata nguvu za kudumu na kupunguza uchovu.
Kusaidia mfumo wa kinga: Vitamin na antioxidants husaidia mwili kupambana na maradhi.
Kuboresha akili na utambuzi: Inasaidia kuzingatia vizuri, kumbukumbu, na kuimarisha akili.
Kusaidia kudumisha uzito unaofaa: Inasaidia kudhibiti cravings na kuongeza metabolism.
Kuboresha afya ya ngozi, nywele, na meno: Vitamini na minerals huchangia ngozi kung’aa na nywele kuwa zenye afya.
Kusaidia mfumo wa moyo na mishipa: Huchangia kupunguza cholesterol mbaya na kuongeza afya ya moyo.
Kupunguza stress na msongo wa mawazo: Antioxidants na mood enhancers husaidia kuondoa uchovu wa akili.
Afya ya mfuko wa chakula: Husaidia mmeng’enyo wa chakula na kinga ya utumbo.
✅ Kifafa – Husaidia utulivu wa ubongo, hupunguza msongo na kuboresha uwezo wa ubongo kufanya kazi vizuri.
✅ Kisukari – MyChoco ina alkalinity inayosaidia kudhibiti sukari kwa usalama na kuongeza kinga.
✅ Moyo – MyChoco ina DHA na antioxidants zinazosaidia kulinda mishipa na kuboresha mzunguko wa damu.
✅ Mgongo wazi – Huchochea ukuaji wa neva na kusaidia uimarishaji wa mifupa.
✅ HIV/UKIMWI – Huimarisha kinga na kuboresha afya ya mwili kwa ujumla.
✅ Ukuaji hafifu – Super Focus huchochea ukuaji wa akili na hamu ya kula, huku MyChoco huchangia uzito na nguvu.
✅ Mifupa dhaifu – MyChoco ina calcium na virutubisho muhimu kwa mifupa.
✅ Ubongo (utindio wa ubongo) – Super Focus huchochea shughuli za ubongo na kusaidia mtoto kujifunza kwa utulivu.
✅ Kinga ya mwili – Bidhaa zote mbili husaidia mtoto kuwa na kinga imara dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara.
Matokeo Yanayotarajiwa Kwa Siku 90:
Siku 15–30: Nguvu za mwili huanza kuongezeka, usingizi bora, cravings hupungua.
Siku 31–60: Ngozi huanza kung’aa, akili kuwa makini, na afya ya moyo inaimarika.
Siku 61–90: Mwili unakuwa na stamina nzuri, kinga imara, uzito unaodhibitiwa, na msongo wa mawazo unapungua.
Kwa ufanisi zaidi, tumia MyChoco pamoja na chakula cha afya na maji ya kutosha. Hii itahakikisha mwili unapata virutubisho vyote muhimu kwa kila siku ya maisha yako ya kila siku.
Mpangilio wa matumizi:
Siku 10: Tsh 70,000
Mwezi 1: Tsh 210,000
Miezi 3: Tsh 630,000
Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093
TSH 70,000
- Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
- Availability 100 Units
- SKU PROD-78a1fb6f-815e-4f04-a679-75f9288c0af9