In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
Barley Glow
BARLEY GLOW
Aina: Kirutubisho cha lishe cha kinywaji (Barley-based Nutritional Drink)
Lengo: Kusaidia afya ya mwili kwa ujumla, kuboresha ngozi, kusaidia mmeng’enyo, na kuongeza nishati kupitia virutubisho vya nafaka ya barley.
MAELEZO YA BIDHAA
- Packaging: Pouch ya plastiki rangi ya kijani na dhahabu
- Uzito: 250g / pouch
- Imetengenezwa kwa barley safi yenye vitamini na madini muhimu kwa mwili na ngozi.
FAIDA KUU
- Husaidia kuondoa sumu mwilini na kuimarisha kinga
- Husaidia ngozi kung’aa, kuwa laini na yenye afya
- Huboresha afya ya nywele na kucha
- Hupunguza uchovu wa mwili na kuongeza uchangamfu
- Husaidia mwili kuwa safi, mwepesi na wenye afya kwa ujumla
- Kuondoa chunusi, makovu, ngozi kuzeeka haraka, weusi kwenye macho, makunyanzi, stratchmark
- Huzuia ngozi kusinyaa
- Kutibu melasma
- Hulainisha ngozi na kurudisha mng'ao wa asili bila kuharibu ngozi
- Tiba ya ngozi dhidi ya uharibifu unaotokana na vipodozi vikali, kemikali na sumu
- Hudhibiti madhara ya Jua kali kwenye ngozi
- Huzuia nywele kukatika na kukosa afya na kuzuia kucha kukatika
- Huondoa mafuta kwenye ngozi
JINSI YA KUTUMIA
- Tumia kila siku kama kinywaji cha asubuhi au mchana.
- Changanya kijiko 1–2 kwenye 250 ml ya maji au maziwa.
- Kwa matokeo bora, tumia siku 90 mfululizo bila kuruka dozi.
MATOKEO KWA MPANGO WA SIKU 90
- Siku 15: Mwili kuanza kujisafisha, ngozi kupata mwanga.
- Mwezi 1: Ngozi kuwa ang’avu zaidi, tumbo kupungua, nishati kuongezeka.
- Miezi 3: Afya bora ya mwili, ngozi yenye mng’ao, uchovu kupungua.
USHAURI WA KITAALAMU
- Tumia pamoja na lishe yenye nyuzinyuzi, protini bora, maji ya kutosha na mazoezi mepesi.
- Epuka sukari nyingi na vyakula vilivyosindikwa kupita kiasi.
- Wenye magonjwa sugu (kisukari, presha, figo/ini) au wanaotumia dawa za hospitali wapate ushauri kabla ya matumizi.
BEI
- Siku 10: TSH 70,000
- Mwezi 1: TSH 210,000
- Miezi 3: TSH 630,000
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 70,000
- Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
- Availability 82 Units
- SKU PROD- 7a81684b-bf47-4b71-8f0d-bc352839a516