Stop Smoking Tea
SMOKE FREE RESET PACKAGE
Faida za kutumia kwa anayetaka kuacha sigara na pombe:
-Husaidia kupunguza hamu (craving) ya sigara na pombe taratibu bila stress kubwa.
-Hutakasa ini (liver detox) lililoathiriwa na sumu za sigara na pombe.
-Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi, acid na kichefuchefu.
-Husafisha damu (blood cleansing) na kusaidia mwili kuondoa sumu haraka.
-Huongeza nguvu na umakini wa akili, kupunguza uchovu na usingizi mwingi.
-Hurekebisha usingizi (sleep balance) uliovurugika kwa watumiaji wa sigara/pombe.
-Hupunguza msongo wa mawazo na hasira, dalili za kawaida za kuacha matumizi.
-Huimarisha kinga ya mwili (immunity) dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara.
-Huboresha afya ya mapafu na ini kwa ujumla, kusaidia mwili kujirekebisha.
-Huchochea mabadiliko ya haraka na endelevu pale vinapotumika mfululizo kama dozi ilivyoelekezwa.
📦 Jina la Package: Smoke Free Reset Package
⏳ Dozi ya Mwezi: Sh 50,000
👉 Imeandaliwa kwa matokeo ya haraka kwa anayeamua kuacha sigara na pombe kabisa.
Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.
TSH 50,000
- Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
- Availability 9 Units
- SKU PROD- d7bb2bcd-7e2e-4eba-91e5-1f1b66514071