In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook
Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Kisukari
Faida Kuu za Mwongozo wa Lishe kwa wagonjwa wa Kisukari:
Kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu – husaidia kuzuia kupanda na kushuka kwa ghafla (sugar spikes).
Kuboresha matumizi ya insulin mwilini – mwili hujifunza kutumia sukari vizuri zaidi.
Kupunguza hatari ya madhara ya kisukari kama vidonda vya miguu, macho kuharibika, figo na mishipa ya fahamu.
Kusaidia kupunguza uzito kupita kiasi bila kudhoofisha mwili.
Kuimarisha nguvu ya mwili (energy) na kupunguza uchovu wa mara kwa mara.
Kuboresha afya ya moyo na mishipa ya damu kwa kupunguza mafuta mabaya (cholesterol).
Kurekebisha mmeng’enyo wa chakula na kuzuia kujaa gesi, kuvimbiwa au tumbo kuuma.
Kupunguza utegemezi wa dawa nyingi (chini ya usimamizi wa kitaalamu).
Kukuza nidhamu ya kula kwa muda mrefu – si tiba ya muda mfupi bali mtindo wa maisha.
Kuboresha afya kwa ujumla ikiwa ni pamoja na usingizi, presha ya damu na kinga ya mwili.
Mwongozo huu hujikita kwenye vyakula vinavyopatikana kirahisi, ratiba sahihi ya milo, na mchanganyiko unaolinda kongosho na ini — mambo muhimu sana kwa mgonjwa wa kisukari.
KUMBUKA; Ili kupata matokeo mazuri na ya haraka nashauri kutumia na tiba zetu za Diabetic Package kwa siku 90 mfululizo
Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093
TSH 10,000
- Category eBook
- Availability 100 Units
- SKU PROD-fc6439b7-9fdc-4f56-953b-eba7dfce596b